Eze. 26:19 SUV

19 Maana Bwana MUNGU asema hivi; Nitakapokufanya kuwa mji wa ukiwa, kama miji isiyokaliwa na watu; nitakapoleta vilindi vya bahari juu yako, na maji makuu yatakapokufunika;

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:19 katika mazingira