Eze. 27:32 SUV

32 Na katika kulia kwao watakufanyia maombolezo, na kukuombolezea, wakisema, Ni nani aliye kama Tiro, kama yeye aliyenyamazishwa kati ya bahari?

Kusoma sura kamili Eze. 27

Mtazamo Eze. 27:32 katika mazingira