33 Bidhaa zako zilipotoka katika bahari, uliwajaza watu wa kabila nyingi; uliwatajirisha wafalme wa dunia, kwa wingi wa mali zako, na kwa utajiri wako.
Kusoma sura kamili Eze. 27
Mtazamo Eze. 27:33 katika mazingira