Eze. 29:10 SUV

10 Basi, tazama, mimi ni juu yako, na juu ya mito yako, nami nitaifanya nchi ya Misri kuwa jangwa tupu, na ukiwa, toka Migdoli hata Sewene, hata mpaka wa Kushi.

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:10 katika mazingira