Eze. 29:9 SUV

9 Nayo nchi ya Misri itakuwa ukiwa na jangwa; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA; kwa sababu amesema, Mto huu ni wangu, nami nimeufanya.

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:9 katika mazingira