Eze. 29:8 SUV

8 Basi, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitaleta upanga juu yako, nami nitakatilia mbali nawe wanadamu na wanyama.

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:8 katika mazingira