Eze. 29:20 SUV

20 Nimempa nchi ya Misri kuwa malipo ya huduma aliyohudumu, kwa sababu walifanya kazi kwa ajili yangu; asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:20 katika mazingira