Eze. 29:21 SUV

21 Siku ile nitawachipushia nyumba ya Israeli pembe, nami nitakujalia kufumbua kinywa kati yao; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:21 katika mazingira