Eze. 29:4 SUV

4 Nami nitatia kulabu katika taya zako, nami nitawashikamanisha samaki wa mito yako na magamba yako; nami nitakutoa katika mito yako, pamoja na samaki wa mito yako walioshikamana na magamba yako.

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:4 katika mazingira