Eze. 3:10 SUV

10 Tena akaniambia, Mwanadamu, maneno yangu yote nitakayokuambia, yapokee moyoni mwako, na kuyasikia kwa masikio yako.

Kusoma sura kamili Eze. 3

Mtazamo Eze. 3:10 katika mazingira