Eze. 3:9 SUV

9 Kama almasi ilivyo ngumu kuliko gumegume, ndivyo nilivyokifanya kipaji chako; usiwaogope, wala usifadhaike kwa sababu ya nyuso zao, wajapokuwa ni nyumba ya kuasi.

Kusoma sura kamili Eze. 3

Mtazamo Eze. 3:9 katika mazingira