Eze. 3:14 SUV

14 Basi roho ikaniinua, ikanichukua mahali pengine; nami nikaenda kwa uchungu, na hasira kali rohoni mwangu, na mkono wa BWANA ulikuwa juu yangu kwa nguvu.

Kusoma sura kamili Eze. 3

Mtazamo Eze. 3:14 katika mazingira