Eze. 3:15 SUV

15 Ndipo nikawafikia watu waliohamishwa, huko Tel-abibu, waliokuwa wakikaa karibu na mto Kebari, nikafika huko walikokuwa wakikaa; nikaketi huko miongoni mwao muda wa siku saba, katika hali ya ushangao mwingi.

Kusoma sura kamili Eze. 3

Mtazamo Eze. 3:15 katika mazingira