Eze. 30:13 SUV

13 Bwana MUNGU asema hivi; Pia nitaviharibu vinyago, nami nitavikomesha vitu vya ubatili katika Nofu, wala hapatakuwa na mkuu tena atokaye katika nchi ya Misri, nami nitatia hofu katika nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Eze. 30

Mtazamo Eze. 30:13 katika mazingira