Eze. 30:25 SUV

25 Nami nitaitegemeza mikono ya mfalme wa Babeli, na mikono ya Farao itaanguka; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoutia upanga wangu katika mkono wa mfalme wa Babeli, naye ataunyosha juu ya nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Eze. 30

Mtazamo Eze. 30:25 katika mazingira