Eze. 30:26 SUV

26 Nami nitawatawanya Wamisri kati ya mataifa, na kuwatapanya kati ya nchi mbalimbali; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 30

Mtazamo Eze. 30:26 katika mazingira