Eze. 31:9 SUV

9 Nalimfanya kuwa mzuri kwa wingi wa matawi yake; hata miti yote ya Adeni, iliyokuwa ndani ya bustani ya Mungu, ilimwonea wivu.

Kusoma sura kamili Eze. 31

Mtazamo Eze. 31:9 katika mazingira