7 Nami nitakapokuzimisha, nitazifunikiza mbingu, na kuzifanya nyota zake kuwa giza; nami nitalifunika jua kwa wingu, wala mwezi hautatoa nuru yake.
Kusoma sura kamili Eze. 32
Mtazamo Eze. 32:7 katika mazingira