Eze. 32:8 SUV

8 Mianga yote ya mbinguni iangazayo nitaifanya kuwa giza juu yako, nami nitatia giza katika nchi yako, asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 32

Mtazamo Eze. 32:8 katika mazingira