Eze. 33:20 SUV

20 Lakini ninyi husema, Njia ya Bwana si sawa. Ee nyumba ya Israeli, nitawahukumu ninyi; kila mtu kwa kadiri ya njia zake.

Kusoma sura kamili Eze. 33

Mtazamo Eze. 33:20 katika mazingira