Eze. 33:21 SUV

21 Ikawa, katika mwaka wa kumi na mbili wa kuhamishwa kwetu, mwezi wa kumi, siku ya tano ya mwezi, mtu mmoja aliyekuwa ametoroka toka Yerusalemu akanijia, akisema, Mji umepigwa.

Kusoma sura kamili Eze. 33

Mtazamo Eze. 33:21 katika mazingira