25 Basi, waambie, Bwana MUNGU asema hivi; Mnakula nyama pamoja na damu yake, na kuviinulia vinyago vyenu macho yenu, na kumwaga damu; je, mtaimiliki nchi hii?
Kusoma sura kamili Eze. 33
Mtazamo Eze. 33:25 katika mazingira