Eze. 33:28 SUV

28 Nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa na ajabu, na kiburi cha uwezo wake kitakoma; nayo milima ya Israeli itakuwa ukiwa, asipite mtu.

Kusoma sura kamili Eze. 33

Mtazamo Eze. 33:28 katika mazingira