Eze. 33:29 SUV

29 Ndipo watakapojua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoifanya nchi kuwa ukiwa na ajabu, kwa sababu ya machukizo yao yote waliyoyatenda.

Kusoma sura kamili Eze. 33

Mtazamo Eze. 33:29 katika mazingira