Eze. 33:30 SUV

30 Nawe, mwanadamu, wana wa watu wako husimulia habari zako karibu na kuta, na ndani ya milango ya nyumba zao, na kuambiana, kila mtu na ndugu yake, wakisema, Haya! Twende tukasikie ni neno gani hilo litokalo kwa BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 33

Mtazamo Eze. 33:30 katika mazingira