Eze. 34:17 SUV

17 Na kwa habari zenu, Enyi kundi langu, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nahukumu kati ya mnyama na mnyama, kondoo waume na mbuzi waume pia.

Kusoma sura kamili Eze. 34

Mtazamo Eze. 34:17 katika mazingira