Eze. 35:11 SUV

11 Basi, kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, nitatenda kwa kadiri ya hasira yako, na kwa kadiri ya wivu wako, ulioudhihirisha kwa kuwachukia; nami nitajidhihirisha kwao, nitakapokuhukumu wewe.

Kusoma sura kamili Eze. 35

Mtazamo Eze. 35:11 katika mazingira