Eze. 35:12 SUV

12 Nawe utajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeyasikia matukano yako yote, uliyoyanena juu ya milima ya Israeli, ukisema, Wamefanyika ukiwa, wametiwa katika mikono yetu tuwale.

Kusoma sura kamili Eze. 35

Mtazamo Eze. 35:12 katika mazingira