Eze. 37:12 SUV

12 Basi tabiri, uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitafunua makaburi yenu, na kuwapandisha kutoka katika makaburi yenu, enyi watu wangu, nami nitawaingizeni katika nchi ya Israeli.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:12 katika mazingira