Eze. 37:13 SUV

13 Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoyafunua makaburi yenu, na kuwatoa ninyi katika makaburi yenu, enyi watu wangu.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:13 katika mazingira