Eze. 37:14 SUV

14 Nami nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawawekeni katika nchi yenu, nanyi mtajua ya kuwa mimi, BWANA, nimesema hayo, na kuyatimiza, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:14 katika mazingira