Eze. 37:6 SUV

6 Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:6 katika mazingira