Eze. 37:7 SUV

7 Basi nikatoa unabii kama nilivyoamriwa; hata nilipokuwa nikitoa unabii, palikuwa na mshindo mkuu; na tazama, tetemeko la nchi, na ile mifupa ikasogeleana, mfupa kwa mfupa mwenziwe.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:7 katika mazingira