Eze. 37:8 SUV

8 Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi ikaifunika juu yake; lakini haikuwamo pumzi ndani yake.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:8 katika mazingira