Eze. 39:6 SUV

6 Nami nitapeleka moto juu ya Magogu; na juu ya watu wote wakaao salama katika visiwa; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 39

Mtazamo Eze. 39:6 katika mazingira