Eze. 39:7 SUV

7 Na jina langu takatifu nitalifanya kuwa limejulika kati ya watu wangu Israeli; wala sitaliacha jina langu takatifu kutiwa unajisi tena; nao mataifa watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, na Aliye Mtakatifu katika Israeli.

Kusoma sura kamili Eze. 39

Mtazamo Eze. 39:7 katika mazingira