Eze. 4:5 SUV

5 Maana nimekuagizia miaka ya uovu wao iwe kwako hesabu ya siku, yaani, siku mia tatu na tisini; ndivyo utakavyouchukua uovu wa nyumba ya Israeli.

Kusoma sura kamili Eze. 4

Mtazamo Eze. 4:5 katika mazingira