Eze. 4:6 SUV

6 Tena utakapozitimiza hizo, utalala kwa ubavu wako wa kuume, nawe utauchukua uovu wa nyumba ya Yuda; siku arobaini, siku moja kwa mwaka mmoja, nimekuagizia.

Kusoma sura kamili Eze. 4

Mtazamo Eze. 4:6 katika mazingira