Eze. 4:7 SUV

7 Nawe utauelekeza uso wako, uelekee mazingiwa ya Yerusalemu, na mkono wako utakuwa haukuvikwa nguo, nawe utatoa unabii juu yake.

Kusoma sura kamili Eze. 4

Mtazamo Eze. 4:7 katika mazingira