Eze. 40:22 SUV

22 Na madirisha yake, na matao yake, na mitende yake, kipimo chake ni sawasawa na kipimo cha lango lililoelekea upande wa mashariki; nao hupanda kwa madaraja saba; na matao yake yalikuwa mbele yake.

Kusoma sura kamili Eze. 40

Mtazamo Eze. 40:22 katika mazingira