23 Na ule ua wa ndani ulikuwa na lango lililoelekea lile lango la pili, upande wa kaskazini, na upande wa mashariki; akapima toka lango hata lango, dhiraa mia.
Kusoma sura kamili Eze. 40
Mtazamo Eze. 40:23 katika mazingira