24 Akanileta mpaka upande wa kusini, na tazama, lango lililoelekea kusini; akaipima miimo yake, na matao yake, sawasawa na vipimo hivyo.
Kusoma sura kamili Eze. 40
Mtazamo Eze. 40:24 katika mazingira