Eze. 40:3 SUV

3 Akanileta huko, na tazama, alikuwapo mtu, ambaye kuonekana kwake kulikuwa kama kuonekana kwa shaba, naye alikuwa na uzi wa kitani mkononi mwake, na mwanzi wa kupimia; akasimama karibu na lango.

Kusoma sura kamili Eze. 40

Mtazamo Eze. 40:3 katika mazingira