Eze. 40:4 SUV

4 Mtu yule akaniambia, Mwanadamu, tazama kwa macho yako, sikia kwa masikio yako, ukaweke moyoni mwako, yote nitakayokuonyesha; maana umeletwa hapa kusudi nikuonyeshe haya; tangaza habari ya yote utakayoyaona kwa nyumba ya Israeli.

Kusoma sura kamili Eze. 40

Mtazamo Eze. 40:4 katika mazingira