Eze. 43:12 SUV

12 Hii ndiyo sheria ya nyumba; juu ya kilele cha mlima, mpaka wake wote pande zote patakuwa patakatifu sana. Tazama, hii ndiyo sheria ya nyumba.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:12 katika mazingira