Eze. 43:13 SUV

13 Na vipimo vya madhabahu kwa dhiraa ni hivi; (dhiraa ni dhiraa na shubiri); tako lake ni dhiraa moja, na upana wake dhiraa moja; na pambizo yake karibu na ncha yake pande zote, shubiri moja; na hili litakuwa tako la madhabahu.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:13 katika mazingira