Eze. 43:18 SUV

18 Kisha akaniambia, Mwanadamu, Bwana MUNGU asema hivi; Hizi ndizo sheria za madhabahu katika siku ile watakapoifanya, ili watoe sadaka za kuteketezwa juu yake, na kunyunyiza damu juu yake.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:18 katika mazingira