Eze. 43:2 SUV

2 na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na sauti yake ilikuwa kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling’aa kwa utukufu wake.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:2 katika mazingira