Eze. 43:3 SUV

3 Na maono niliyoyaona yalikuwa kama maono niliyoyaona nilipokuja kuuharibu mji; nayo maono niliyoyaona yalikuwa kama maono niliyoyaona karibu na mto wa Kebari; nikaanguka kifudifudi.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:3 katika mazingira