Eze. 43:20 SUV

20 Nawe utatwaa baadhi ya damu yake, na kuitia juu ya pembe zake nne, na juu ya ncha nne za daraja, na juu ya pambizo yake pande zote; ndivyo utakavyoitakasa, na kuifanyia upatanisho.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:20 katika mazingira